Wasiliana Nasi
Tunahamasisha ujifunzaji wa awali kupitia programu za michezo zinazojenga kujiamini, ubunifu, na upendo wa kugundua mambo mapya.
Tembelea Ofisi Yetu
Mahali
Mzumbe, Morogoro Tanzania
Saa za Kufanya Kazi
Jumatatu – Ijumaa: 1:00 Asubuhi – 11:00Jioni
Jumamosi: 2:00 Asubuhi – 8:00 Mchana
Makundi ya Umri
Tunakubali watoto wenye umri wa miaka 2 – 6
Idadi ndogo ya wanafunzi kwa uangalizi binafsi